7 Agosti 2024 - 06:08
Msimbo wa Habari: 1476952
Kwa mujibu wa Shirika la habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Ndani ya siku hizi muhimu, yawezekana ukawa mbali na Haram ya Abbas (a.s). Ila usijali! Kama unahamu ya kumzuru ndugu wa Imamu Hussein (a.s), bonyeza kiungo kiliopo chini, moja kwa moja utajikuta ndani ya Haram yake takatifu.